Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu ndg:Hamis Dambaya akishiriki katika zoezi la upandaji miti katika bwawa la Mara-sengenya  Mwenyekiti wa Halmashauri Mh Ahamadi Bais Mchopa akishiriki katika zoezi la usafi  WAHANGA WA MVUA  Eneo la stendi kuu ya mabasi iliyopo katika Makao makuu ya Wilaya Nanyumbu  Mtambo wa kuchimbia Visima vilefu vya Maji wa Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

Neno kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji

Karibu msomaji wa tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu katika tovuti hii utapata fursa ya kujua mambo mbalimbali yanayotekelezwa ndani ya Wilaya ikiwa ni pamoja na taarifa muhimu za wilaya zinazofanyika kupitia idara zake na vitengo.

Takwimu

  • Ukubwa = 16,720sq km
  • Idadi ya Watu = 150,857
  • Tarafa = 17
  • Kata = 17
  • Vijiji = 93

Habari & Matukio

27 Nov 2016

BWAWA LA MARA SENGENYA LAWA MKOMBOZI NANYUMBU Mh.Mbunge Willium Dua Nkurua wa Jimbo la Nanyumbu amewataka wananchi wa Kijiji cha Mara

25 Nov 2016

VYAMA VYA USHIRIKA VYAASWA KUTOKAA NA KOROSHO GHARANI Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu Ndg Hamisi Dambaya avitaka vyama vya ushirika kutokaa na Korosho katika maghara yao

Huduma kwa Jamii